Home > Forums > Devices > CAMON 12 Series > MSIMU WA CHRISTMAS NA TECNO, WAKATI WA MAZAWADI!

MSIMU WA CHRISTMAS NA TECNO, WAKATI WA MAZAWADI!

CAMON 12 Series  |  2019-12-4 09:23 103640

Mambo vipi wadau wa T-Spot?! Karibuni kwenye jukwaa jipya la TECNO Spot
Ninayofuraha kukupatia habari njema kwenu mashabiki wa TECNO.


TECNO imeona itoe zawadi kedekede kama shukrani kwa ushirikiano mliowaonyesha ndani ya kipindi hiki chote cha mwaka huu 2019.  Kwenye msimu huu wa sikukuu Zawadi zitolewazo ni Shopping Voucher za laki tano tano pamoja na seti za DSTV zenye kifurushi cha Compact bureee! offer hii ni kwa wale watakao nunua Camon 12 Series au Spark 4 Series katika maduka yao yote yenye promosheni.
spot.jpeg
Mikoa ya maduka yenye Promoshen
Dar es Salaam
Morogoro
Mwanza
Katoro
Kahama
Tabora
Arusha
Dododma
Tanga
Mbeya
Moshi

Kama una swali, ombi au kupata maelekezo wasiliana na namba hizi

S/no Mkoa Namba ya Simu
1
Dar es Salaam
0652 169 595
2
Morogoro  
0767 112 138
3
Mwanza      
0753 144 128
4
       Katoro      
  0753 144 128
5
Kahama
0753 144 128
6
Tabora
0753 144128
7
        Arusha         
0715 09 2100
8
Dododma   
0764 161 011
9
Tanga  
     0767 640 067
10
Mbeya
   0758 442 496
11
Moshi   
  0767 640 067

Instagram
@tecnosmarthub @tecnomobiletanza
Facebook
@TECNOMobileTanzania
Twitter
@TECNOmobileTZ

Unaionaje hiyo? tupia comment yako kama umeikubali offer hii

 • Like(2)
 • Share
You need to log in before reply Log In | Register

Seadiamond 8 #

if other people snap on techno phone you will see the name appears

but if I snap picture with my camon 12
I cant see the name of the phone
2020-1-10 15:23 Like(0)
 • waku7bisha : You have to set the option of putting watermark.

  2020-1-23 03:11

colin graphic 7 #

????????????
2020-1-5 02:43 Like(0)
 • waku7bisha : naam mkuu. karibu TECNO Spot version 2.0.0.2

  2020-1-6 03:41

ts571504267 6 #

TESTTESTTEST
2019-12-9 14:34 Like(0)

224324646044 5 #

ghh
2019-12-9 03:38 Like(1)

yusufaliu 4 #

........,...
nice
2019-12-5 17:33 Like(1)
 • waku7bisha : Naam, usikose kutembelea maduka ya TECNO yenye promosheni msimu huu

  2019-12-11 03:39

yusufaliu 3 #

2019-12-5 17:32 Like(0)

TECNO SPOT 2 #

good!
2019-12-5 02:52 Like(0)

waku7bisha

Administrator

Follow Send PM

© 2020 TECNO Mobile