Unapaswa kugusa palipoandikwa 'Resume Now/ Download Now'. Iwapo una bundle za kutosha simu ita-update bila tatizo.