Ukurasa wa mwanzo > kifungu > Management > General > Tsh.50,000 KWA Tsh.500,000 NA TECNO SPARK 5PRO, PRE ...

Tsh.50,000 KWA Tsh.500,000 NA TECNO SPARK 5PRO, PRE ODER SASA!

General  |  2020-10-7 11:20 283793

Spark-5-Pro-SM-5.jpg

Pata nafasi ya kujishindia zawadi yenye thamani ya zaidi ya shillingi laki tano-500,000tsh lakini pia jinyakulie zawadi nyengine kama vile TECNO H2 earphone na TECNO S1 wireless speaker pale tu utakapoingia katika maduka ya TECNO na kufanya malipo (pre-order) ya awali sh.50,000 kwa jili ya simu bomba ya TECNO spark 5pro.

Ili kuwa miongoni mwa wateja wa kwanza kutumia TECNO spark 5pro unaweza kupre-Order kuanzia tarehe 8/10-16/10/2020 katika mikoa ifuatayo;

MKOA
DUKA
NAMBARI YA SIMU
Dar es Salaam
Mlimani City Smart Hub, China plaza smart hub, Hyatt, Mobimart, Mashreq, Inorbit, Mercury, Raju n.k
654843687
654304803
Mwanza
Jambo Mwanza Shop, Gift Shop 1, J.B.L Mobile,
Katoro shop, Bukoba shop
719083413
753144128
Arusha
CCM Babadi, Bus Terminal Arusha,
715092100
Dodoma
Pablo shop
764161011
Moshi
Totolee
659392893
Mbeya
BM shop, TECNO Mbeya shop
758442496

PRE-ORDER SASA KUPITIA LINK HII: https://bit.ly/2GLW30W
[size=14.6667px]
  • Penda(14)
  • Shiriki
Itabidi uingie kabla ya kujibu Ingia | Jisajili

illuminati membership 21 #

Vidokezo: Mwandishi haruhusiwi au amefutwa, maudhui yanazuiwa kiotomatiki.

30544550 20 #

duuuu
2021-3-17 18:04 Penda(0)

30911451 19 #

jaman hizi sim ninziri kwakwel
2021-3-11 19:34 Penda(0)

peter j. 18 #

mimi nataka sipea ya sim tecno comon x pro inashida ya camera mbele na nyumba je ntapata kwa shingapi me nipo morogoro
2021-3-6 11:12 Penda(0)

30747950 17 #

Kwakwel I love ???? my TECNO CAMON 15 HABARY YA TOWN
2021-2-15 20:57 Penda(0)

30532649 16 #

tecno ni cm kali sana maana inakaa nachaji
2021-1-11 15:37 Penda(1)

30463777 15 #

shingapi spark5
2020-12-30 12:46 Penda(1)

ushiyegos 14 #

camon 16 suluhisho la wastaafu
2020-12-26 15:12 Penda(1)

30301459 13 #

Tecno my favorite phone! naipenda haiboii
2020-12-9 15:56 Penda(1)

zander the jayhawk 12 #

naomba nijue uwezo wake
2020-11-20 20:32 Penda(1)

waku7bisha

Msimamizi

Fuata Ongea

© 2021 TECNO Mobile