Ukurasa wa mwanzo > kifungu > Management > General > TECNO CAMON 16s KUINGIA SOKONI HIVI KARIBUNI

TECNO CAMON 16s KUINGIA SOKONI HIVI KARIBUNI

General  |  2020-11-11 13:12 1923355

Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO inatarajia kuzindua simu mpya ya TECNO CAMON 16s, ni simu ambayo inakuja na teknolojia kubwa ya kamera na uwezo mkubwa  utakaowanufaisha watumiaji katika shughuli zao za kiofisi na kiuchumi.

Taarifa kutoka kampuni ya TECNO zinaeleza kuwa TECNO CAMON 16s ina kamera nne nyuma na kamera kuu ikiwa na 48MP.

Kamera hiyo yenye uwezo wa kuchukua picha ang’avu bila kujalisha mazingira au muda ambao picha inapigwa hata kwenye mwanga hafifu simu hiyo ina uwezo wakupiga picha ang’avu kutokana na flashi zake nne za nyuma pamoja na lensi yenye teknolojia ya AI ambapo vyote kwa pamoja vinamsaidia mtumiaji wa simu hii kupata picha ang’avu hata kwenye mazingira yenye mwanga hafifu.

ts1.jpg

Pamoja na kuwa na kamera kubwa yenye uwezo, pia simu hiyo imedokezewa kuwa ina memori kubwa inayofikia GB 128 ROM kwa GB 4 RAM. Ukubwa wa memori ya simu hii utamsaidia mtumiaji kuhifadhi vitu vyake bila kufuta pia kuiwezesha simu kufanya kazi kwa ufanisi zaidi bila kukwama.

Vilevile simu hiyo ya TECNO CAMON 16s ina Skrini kubwa ya inchi 6.6 itakayompa mtumiaji furaha na uhuru wa kutazama video, kucheza gemu pamoja na kupiga picha zinazojitosheleza na kuenea vizuri kwenye screen ambazo zitakuwa zinaleta uhalisia wa picha halisi.

ts2.jpg

Kufahamu zaidi ujio wa simu hii bofya link kwenda kwenye ukurasa wao wa Instagram;    • Penda(12)
  • Shiriki
Itabidi uingie kabla ya kujibu Ingia | Jisajili

30858400 mwabenga. com 18 #

bei
2021-3-4 21:37 Penda(0)

30740690 17 #

Kali Sana usiku ipo iv ndani ya giza kali
2021-3-4 18:18 Penda(0)

269141115589 16 #

comon x bei
2021-2-24 15:42 Penda(0)

30754503 15 #

camon 16 bei gani
2021-2-16 19:41 Penda(0)

Treaty1845 14 #

????????????
2021-1-2 21:40 Penda(2)

501307100 13 #

Hii
2020-12-31 16:24 Penda(1)

501307100 12 #

Hii
2020-12-31 16:24 Penda(1)

ushiyegos 11 #

iko vizuri mno
2020-12-30 05:48 Penda(2)

mendez 10 #

cm qaliii
2020-12-26 21:21 Penda(1)

waku7bisha

Msimamizi

Fuata Ongea

© 2021 TECNO Mobile