Ukurasa wa mwanzo > kifungu > Mobile phones > CAMON 15 Series > Umeona wapi au kusikia taarifa kuhusiana na Camon 15 ...

Umeona wapi au kusikia taarifa kuhusiana na Camon 15?

CAMON 15 Series  |  2020-7-2 09:10 1155329

Habari ndugu wadau wa TECNO Spot.


Tunahitaji kusikia maoni yako kua ni wapi umesikia au kuona taarifa kuhusiana na Camon 15.


Gusa hii link hapa chini kuweka jibu lako


https://forms.gle/HxBzu5ndmbmZKTaa7


Camon15.jpg

Asante.


  • Penda(24)
  • Shiriki
Itabidi uingie kabla ya kujibu Ingia | Jisajili

31508089 107 #

nisoma mtandaoni
2021-6-10 08:36 Penda(0)

dijei 106 #

E
2021-5-14 07:47 Penda(0)

mnwembwe 105 #

Mimi nnakereka na matangazo ya gemes katika simu yangu naomba kuwe na fail maalum ya games sio kila sehemu .
2021-3-9 15:32 Penda(0)

mnwembwe 104 #

nimeiyona katika app ya (t) tecno sevc
2021-3-9 15:31 Penda(0)

25092806646209536 103 #

bei gan kwan
2021-2-12 01:21 Penda(1)

waltervevo 102 #

na ninayoo
2021-2-2 11:56 Penda(1)

30293424 101 #

how much is it for now
2021-1-28 12:15 Penda(0)

30602297 100 #

hatujapata makava yake wala glasi zake huku arusha tanzania  na pia spea za cm hii hazipatikani kabisa
2021-1-27 07:22 Penda(0)

30499830 99 #

boleshen upande wa kamera ya mbele sionzur kabisa hasa ifikapo usiku
2021-1-4 07:43 Penda(0)

waku7bisha

Msimamizi

Fuata Ongea

© 2021 TECNO Mobile